MPENDWAMEDIA inawatakia WATANZANIA wote uchaguzi mwema siku ya leo
Brand Ya MPENDWAMEDIA Inawatakia Watanzania wote Uchaguzi mwema.
MUNGU atuongoze tuchague viongozi watakao
Leta Mabadiliko makubwa kwenye maisha yetu ya kawaida na kuongeza mafanikio ya Nchi.
Tunawapenda Sana na Amani yetu ni furaha yetu, Mungu atuongoze Tena na Tena.
Eeeeh Mola Isimamie Nchi Yetu Ivuke. Salama Kwenye Kipindi Hiki.
AMEN
No comments